105. Kuwatafuta

 1. Kuwatafuta wasioweza,

Kuomba wamrejee Yesu,
Kuwaambia maneno yake,
“Njooni kwangu, nawapenda”.

 Nitakwenda, (kwenda), niwatafute
 Waongofu (wa Bwana) wageuke,
 Waingie (wote) katika zizi
 La Mkombozi (wetu) Yesu kristo.
          
2. Kuwatafuta wasioweza,
Waonyeshwe Mwokozi wetu,
Kuwaongoza, wapate wote
Uzima wa milele.

3. Kazi hiyo nataka kufanya,
Leo nimesikia mwito
Kuwainua waangukao,
Waletwe kwake Yesu njia.

Comments

Popular posts from this blog

52. Yote namtolea Yesu

85. Ni Mtu wa Simanzi

48. Naweka dhambi zangu