118. Ni Ujumbe Wa Bwana

 1. Ni ujumbe wa Bwana haleluya, wa maisha ya daima,

amenena mwenyewe haleluya, utaishi ukitazama

 Tazama, ishi sasa, kumtazama Yesu,
 alinena mwenyewe, haleluya! utaishi ukitazama

2. Uzima wa daima haleluya , kwake Yesu utauona,
ukimtazama tu haleluya, wokovu u peke kwa Bwana

3.Ni ujumbe wa Bwana haleluya, nawe shika rafiki yangu,
ni habari ya raha haleluya, mwenye kuinena ni Mungu.

Comments

Popular posts from this blog

52. Yote namtolea Yesu

85. Ni Mtu wa Simanzi

48. Naweka dhambi zangu