142. Babangu Kule Mbiguni.

 1. Babangu kule mbinguni,

aliye juu pa malaika,
/:aangalia njia zangu
na kunilinda maisha.:/

2. Hata unywele kichwani
hauanguki ovyo tu
/: na siri zote za moyoni
zajulikana kwa Baba.:/

3. Zamani nisipojua,
amekwisha kuandika
/:mkononi mwake jina langu,
ndio upedo wake mkuu.:/

4. Ee Baba yangu u mwema,
nami nataka kufanya
/:kama malaika wafanyavyo
mbinguni kwako milele!.:/

Comments

Popular posts from this blog

52. Yote namtolea Yesu

85. Ni Mtu wa Simanzi

48. Naweka dhambi zangu