143. Nchi Nzuri Yametameta
1. Nchi nzuri yametameta,
Huonekana kule mbali,
Naye Yesu hutuongoza.
Tukafike na sisi huko.
/: Sisi mbali, karibu,
Tutaimba na sisi huko!:/
2. Kule tutawaona wengi
Wapendwao na Yesu Bwana,
Tutashirikiana nao
Itakuwa furaha kubwa.
Si mbali..
3. Tutamwona na Bwana Wetu,
Yesu kristo mwokoai Wetu,
Tutashangilia daima,
Tuna hamu ya kwenda Kwetu.
Si mbali..
Comments
Post a Comment