146. Neno la Mungu Takata

 1. Neno la Mungu takata

Lililotoka mbinguni;
Ambalo moto na panga
Haziwezi kulishinda.
Twakushika siku zote
Maishani na kufani.

2. Waliotutangulia
Waliokutegemea,
Wamekufa mashujaa;
Nasi tulio watoto.
Twakushika …

3. Neno la Mungu takata,
Tukushuhudie nasi
Kwa neno tamu na tendo
Kunako wenzi au adui.
Twakushika …

Comments

Popular posts from this blog

52. Yote namtolea Yesu

85. Ni Mtu wa Simanzi

48. Naweka dhambi zangu