159. Ushirika mkuu, Furaha yangu

1. Ushirika mkuu, furaha yangu,
Kumtegemea Bwana Yesu,
Nina baraka, amani pia,
Kumtegemea Bwana Yesu.

 Raha, Raha,
 Nina raha na salama,
 Raha, Raha,
 kwa kumtegemea Yesu.

2. Ni halisi kutembea naye,
Kwa kumtegemea Yesu.
Naona nuru njiani mwangu,
Kumtegemea Bwana Yesu.

3. Sioni shaka wala hasara,
Kumtegemea Bwana Yesu;
Nina amanikwake Mwolozi,
Kumtegemea Bwana Yesu.

Comments

Popular posts from this blog

52. Yote namtolea Yesu

85. Ni Mtu wa Simanzi

48. Naweka dhambi zangu