84. Niwonapo mti bora

 1. Niwonapo mti bora

Kristo aliponifia
Kwangu pato ni hasara
Kiburi nakichukia.

2. Na nisijivune, Bwana
Ila kwa mauti yako;
Upuzi sitaki tena,
Ni chini ya damu yako.

3. Tangu kichwa hata nyayo,
Zamwagwa pendo na hamu,
Ndako pweke hamu hiyo,
Pendo zako zimetimia.

4. Vitu vyote vya dunia,
Si sadaka ya kutosha;
Pendo zako zinawia
Nafsi, mali, na maisha.

Comments

Popular posts from this blog

52. Yote namtolea Yesu

85. Ni Mtu wa Simanzi

48. Naweka dhambi zangu